Jamani hadi watoto wa kike huwa tunapigwa BAN?

Kwa hiyo unafikiri picha tu itawashawishi wasikupige ban?

Kagawe papuchi au 0713 angalau watashawishika.

Huwezi kuandika pumba za ajabu alafu uvumiliwe. Upigwe ban tu. Nasema upigwe ban maana hakuna namna sasa.
 
Kwa hiyo unafikiri picha tu itawashawishi wasikupige ban?

Kagawe papuchi au 0713 angalau watashawishika.

Huwezi kuandika pumba za ajabu alafu uvumiliwe. Upigwe ban tu. Nasema upigwe ban maana hakuna namna sasa.
Copact majungu
Kwenye ubora wako
 
Mmh,sasa dadangu aliekuambia wewe mzuri nani? Mbona paja zimekomaa hivyo? Halafu kifuani kamaaaaaaaaa!!!

Nakutania mwaya, u mzuriiiii!! Ntaongea na Invisible asikupige tena ban
 
Aisee jamani mod hizo ban zenu muwe mnaangalia
Sio mnapiga ban tu bila sababu za msingi

Alafu sio kwa uzuri huu View attachment 433659

[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ndio nimerudi hivyoo
Richaabra ndio miee
Hauna matege ya ndani kweli wewe, watoto kama wewe wanakuwaga na mvuto wakokaa akisimama miguu kwenye magoti kushuka imepondia nje!! Weka basi uliyosimama, uko poa!!
 
Ndio maana mmeambiwa nyie ni vichaa kuliko Wanaume.

Hii thread itapata wachangiaji wengi kuliko kutokea, ila weka thread ya Elimu hapo uone.
 
Mtoto umenoga balaa. Jamani wakubwa wanafaidi hapa duniani we acha tu.
 
Kiki kabisa, bora ungepost MMU kuw unatafta mpenzi............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…