Jamani hakuna VPN inayoprovide internet. Haya makampuni yananishinda.

Jamani hakuna VPN inayoprovide internet. Haya makampuni yananishinda.

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu..

Wadau hebu tupieni maujuzi makampuni yetu ni shida. Yaani tunakuwa na mitandao ya kubahatisha haina uhakika na mawasiliano yao.
 
mkuu bado sijaelewa hoja yako ni ipi Kwa sababu kama ni mtandao kukata, basi ukikata hata VPN bado haitofanya kazi basi suluhisho hapo ni utafute Internet ya cable.
 
Nataka kuepukana na haya makampuni yana internet ya kubahatisha tunaishi kama old stone age
 
Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu..wadau hebu tupieni maujuzi makampuni yetu ni shida.Yaani tunakuwa na mitandao ya kubahatisha haina uhakika na mawasiliano yao.
Kama unajiweza unataka internet ya haraka tafuta Fiber, kama unataka internet ya kawaida na uwezo mdogo tafuta Adsl ya TTCL.

Adsl as cheap as 25,000 kwa mwezi, fiber as cheap as 55,000 kwa mwezi.
 
Hapa ndio napataka hii technology inapatikanaje au ikoje?
kuwaepuka ni either utumie fiber Internet au satellite Internet sasa itategemeana na eneo ulilopo ndio utajua ni vipi vinapatikana na cost unakuwaje .
 
Back
Top Bottom