Sasa utaiepuka vipi kwa kuweka vpn?Nataka kuepukana na haya makampuni yana internet ya kubahatisha tunaishi kama old stone age
Sasa utayaepuka vipi kwa kuweka vpn?
Vuta subira uje ununue starlinkNisaidie sasa mi nimeshachoka
kuwaepuka ni either utumie fiber Internet au satellite Internet sasa itategemeana na eneo ulilopo ndio utajua ni vipi vinapatikana na cost inakuwaje.Fafanua kidogo
Kama unajiweza unataka internet ya haraka tafuta Fiber, kama unataka internet ya kawaida na uwezo mdogo tafuta Adsl ya TTCL.Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu..wadau hebu tupieni maujuzi makampuni yetu ni shida.Yaani tunakuwa na mitandao ya kubahatisha haina uhakika na mawasiliano yao.
kuwaepuka ni either utumie fiber Internet au satellite Internet sasa itategemeana na eneo ulilopo ndio utajua ni vipi vinapatikana na cost unakuwaje .