U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,850 Reaction score 6,030 Jul 25, 2026 #1 Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,266 Reaction score 40,225 Jul 25, 2026 #2 Acha kufananisha dar na uchafu wa dom
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Jul 25, 2026 #3 Nimekaa nimejiuliza sana hivi ni lazima nikae ndio nijiulize? Pombe nainywea popote hata ibadani
The Eric JF-Expert Member Joined Feb 23, 2019 Posts 6,618 Reaction score 11,380 Jul 25, 2026 #4 Kitambaa cheupe zipo bar tatu hapa dar, vipi rainbow ya hapo makole, au zimeongezeka maana nimetoka toka 2018.
Kitambaa cheupe zipo bar tatu hapa dar, vipi rainbow ya hapo makole, au zimeongezeka maana nimetoka toka 2018.
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 11,056 Reaction score 37,608 Jul 25, 2026 #5 hiyo rainbow ndo wanaendaga upinde wa dom? samahani mimi ni mgeni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 25, 2026 #6 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw