Jamani hatuna Serikali tena!


What is the purpose of having a Cabinet position to deal with good governance if the whole government as it is unfolding on every new day that is corrupt and unaccountable?

Why should there be a need to Public Leaders Ethics secretariate if the office is always operate in fear and silence? why isn't the information public for anyone to see without submission of special request?

Why would Judge Ihema need time to think on how to respond carefully on question regarding ethics, if not an appearance of delibarate calculation to respond irresponsibly like Simba to cover the tracks of Mafisadi Viongozi?

Why do we Watanzania agree to waste our hard earned income (taxes) on these two institutions, wizara ya tawala bora na tume ya maadili?

I will go far back and ask, what did Marmo do in his years as Waziri wa tawala bora? why and what did he fail to do to make sure Taifa letu haliaibiki namna hii?

Then you need to rool your sleever a bit up, what were the roles of Waziri Mkuu na Raisi on good governance? lets start with Mkapa na Sumaye, later jump forward to Lowassa and Kikwete.

Is Tanzania being ruled by dynasty of duo torch bearers who are corrupt and innefficient?
 

Ufufuko,

This is serious my dear friend.

What Simba has done is declaration of attitudes of our leaders and elected officials. This explains why Tanzania has continued to be poor, we have continued to adopt economic policies and entering dubious contract simply because we do not have competent leaders who have sound, investigative and curiosity intelligence minds to take action or execute descisions.

When Karamagi went to London to sign Buzwagi and ammended some of the clauses on the contract, who gave him the technical advise to agree to the pressure to make such amendments that are now known to be costly to our government?

Same goes to IPTL, RADAR, Ndege, ATCL, EPA, Meremeta and Richmond, why did our leaders rush to sign the contracts?

Even if it was for 10% gain, but how stupid would one be to just accept to sign and endorse a contract or agreement that is completely bogus?

Are our leaders and elected officials that cheap to be bought by 30 pieces of silver?

Huu ndio mwanzo wa wengine kuanza kuukana Utanzania!
 

Dume,

Funny enough ni kuwa Tume na taratibu za Serikali na Bunge zinataka "vigogo" wataje mali zao siku wanapoanza kazi. Je kuna taratibu gani kufuatilia mwaka hadi mwaka kuona ukuaji na upunguaji wa mali zao?

Huu naamini ndio upungufu wa Sheria zetu na kwa kuwa watu wengi kwa uvivu wa kujituma wanakimbilia siasa kwa kua ni njai fupi ya kujipatia kipato kikubwa kwa haraka, sishangai hili la Wabunge kupata kigugumizi kwenye hoja ya kutaka Wabunge wasiwe wenyeviti wa bodi au wajumbe wa bodi za mashirika.

It is about the attitude and absence of strict laws and regulations ndio maana tunaendelea kuangamia!
 
Wapinzani kuandamana Tume ya Maadili
Mwandishi Wetu
Daily News; Sunday,April 20, 2008 @00:02

VIONGOZI wa upinzani wamesema wataandamana kesho hadi katika Ofisi ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma ili kupata taarifa za viongozi wanaowatuhumu kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali.

Akihutubia mkutano wa hadhara mjini Dar es Salaam jana ulioitishwa kushinikiza kutiwa saini mkataba wa Mwafaka kuhusu mgogoro wa kisiasa Zanzibar kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama Cha Wananchi (CUF), Mwenyekiti wa CUF

Profesa Ibrahim Lipumba alisema viongozi wa vyama vya upinzani wameamua kutumia Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma kufahamu mali za viongozi wa sasa na wastaafu wanaowatuhumu kwa ufisadi.

Lipumba, ambaye alihutubia mkutano huo katika Viwanja vya Garden, Ilala, baada ya kuongoza maandamano ya wafuasi wa CUF yaliyoanzia Buguruni alisema wapinzani watatumia utaratibu wa kisheria ili wananchi wafahamu utajiri wa viongozi wanaowatuhumu kwa utajiri ambao hauna maelezo ya uhalali wake.

Alisema, kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya mwaka 1995 wananchi wana haki ya kufahamu mali za viongozi walioko madarakani na hata wanapostaafu.

Sheria hiyo inawataka viongozi wa umma wakiwamo mawaziri na wabunge kutaja mali zao siku 30 baada ya kushika wadhifa, kila mwisho wa mwaka na wakati wa kuachia madaraka.

Lipumba alisema Rais Kikwete anapaswa kuwa jasiri katika kushughulikia Mwafaka kati ya CUF na CCM kwa madai kuwa, kutosainiwa kwa makubaliano ya vyama hivyo kunaweza kumshushia hadhi kama Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU).

Naye Katibu Mkuu Seif Sharif Hamad alisema, wanaosema kuwa CUF inajiondoa katika mazungumzo hawana hoja kwa kuwa, mazungumzo yamekwisha hivyo kilichobaki ni kusainiwa kwa makubaliano na kuyatekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…