Mkuu ilikuwa mijeledi kwa kwenda mbele? mambo magumu sana haya aisee.Mhhh malezi yako nayo yanachangia mkuu
Kama ulimlelea kumdekeza hawezi kubadilika kwa muda mfupi
Kaa nae mfundishe na mpe masuala ya maisha maana ni muda mfuipi ujao ataenda boarding school na ni nani atamfulia na kumuoshea sahani zake
Na hizo game na video shuleni ataziona wapi
Mkunje mapema bado mdogo
Mimi ni last born ila sina hizo aise na wala sikupata malezi ya kudekezwa na wazazi
mimi ni last born na niko vizuri tu wa kulaumiwa hapo ni nyie wazazi kwani hayo magame kayaokota si mmempa wenyewe jamani.
mlee mtoto kwa njia nzuri bwana wala hataicha hadi atakapokuwa mzee
Mkuu ilikuwa mijeledi kwa kwenda mbele? mambo magumu sana haya aisee.
sasa naanza kuhisi nyie ma last born mnaanza kujipanga mjitetee,ngoja tusubiri waje wazazi wengine na mamemba wengine ambao ni watoto wa kati,kisha tuta compare na kukontrast notisi.
Sidhani kama tunapanga kujitetea maana tungelelewa na magame na video na kuacha vyombo mezani baada ya kula na kutojua hata kufua nguo zetu tusingekuwa hapa kwa sasa
Walifanya kazi inavyopaswa na ndo maana tuna hili life la sasa
Fimbo kidogo hua unatembeza inapostahili? Manake nyie wa mjini ati hamchapi wanenu
Unajua Rocky binadamu tunazaa miili hatuzai roho,watoto wa nyumba moja wanakua na kuwa viumbe tofauti utadhania walikutana barabarani, ndo mana wakati mwingine kulea inakuwa ni pata potea,mwingine anachapa mwingine hachapi,mwingine anamjaza ma toy mwingine anamnyima kabisa,mwingine anampeleka boarding akiwa mdogo sana mwingine anasema huendi kokote hadi umalize form six.Mzazi yupi yuko sahihi na yupi hayuko sahihi is hard to tell sana sana uta judge kwa kuangalia final product ambayo ni what kind of a person mtoto ame turn into katika adulthood.
ndugu yangu ukiona asubuhi asubuhi nimeamka na thread kama hii we jua ni frustrations,sometime you need a place ya kutafuta solace,jf mojawapo.
I understand bro and kwa mzazi najua nini maana ya hilo unalosema
Hata wewe mwenyewe ukiangalia malezi mliyolelewa pale nyumbani na wazazi wako yako tofauti sana na upendeleo ulikuwa unaonekana wazi
Kitu kimoja ambacho huwa naamini ni kuwa mshirikishe Mungu katika kila hatua ya mtoto wako anayokua
Na kabla ya kwenda hata kuongea nae masuala ya maisha muombe Mungu akujalie hekima na akufundishe kile unachopaswa kuongea na mtoto wako maana unaweza kujikuta unaharibu badala ya kutengeneza
B' umejiuliza ile kwa ukweli kabisa nafasi yako wewe kwa yeye kua alivo sasa??
Maana kama video games ndo anapenda, kucheza mpira but responsibilities
hataki, mie naona hizo ndo zingekua weapons za kumweka katika mstari...