hizi mboko hizi naona zinafagiliwa kwa sana humu ndani........wazazi wengine sijui mnasemaje,haya bana.mi ni last born pia,but u dot com ndo unaharibu watoto wengi sana,mpe mboko za kutosha na majukumu yaendayo na umri wake na make sure anatekeleza,jaribu kumjengea ratiba amabayo lazima aifate,mpangie muda wa games,masomo,ku socialize na wenzake na ndugu,kujihusisha na dini na mengineyo,yote yakienda sambamba tutajenga taifa bora,mfano mm by da time nipo form one nilikuwa nikiamshwa saa moja na kupiga deki vyoo vyote na kufagia uwahi before kwenda shule,,mjengee kujitegemea,mjengeee ratiba kamilifu na punguza kuchekacheka nae punde anapofanya upuuzi
Wazazi wenzangu jamani hebu tujuzane,nyie ma last born wenu mna wa handle vipi.Wa kwangu yaani pasua kichwa,homework kufanya kwa mbinde,nguo ndo hivo anavaa zimejikunja,ukiingia chumbani mwake utadhani ni Kandahar,chakula ale sahani aache hapo,anachofikiria yeye ni video games,kucheza mpira,sinema,ili mradi basi tu. Toto kubwa la miaka 12 mpaka leo linalialia,yaani.
Na mamemba humu ambao na ninyi ni ma last born hebu nipeni experience ya makuzi yenu,mahusiano yenu na wazazi na kaka/dada zenu yalikuwaje wakati mnakua? pliz pliz tell me something.
He he..zile suruali za mlegezo.....saging ndo nini mkuu,hebu nitoe ushamba!
leo nimegundua kweli majority mmu wanafagilia kuchapa watoto,yaani...hasa ukizingatia mi napinga hilo.
na wewe unawachapa wanao?mimi ni last born ila ckuwahi kudekezwa hata kidogo.hiyo mijeledi.hapa ndo ilikuwa kituo chake.so hayo magem punguzai. kuyanunua tv aangalie w/end tu pia waombee sana watoto wako kwani mungu ndiye silaa pekee.
TF anajua kuwa wewe ni 1st born? maana kabla hajakuoa anatakiwa kwanza ajue matatizo yenu ma fest born,sikuyasema hapa lakini mnayo kibao!