leo nimegundua kweli majority mmu wanafagilia kuchapa watoto,yaani...hasa ukizingatia mi napinga hilo.
Mkuu ilikuwa mijeledi kwa kwenda mbele? mambo magumu sana haya aisee.
ukizingatia TF naye ni 1st born pia sasa mtaishije,si itakuwa full mikwaruzano.hahaha! Yaani bishanga umeamua kunimilikisha kwa tf eeh? Haya bana. Hebu taja matatizo yetu. Najua mafirst born huwa tunapenda tuwe juu. Ni watu wa kutoa maagizo na lazima yafatwe.Mmh!
mimi siamini mtoto anarekebishika kwa kuchapwa. Kuna adhabu ukimpa mwenyewe lazma anyoke.
Wakati nipo shule tulikuwa tukiambiwa tuchague fimbo au adhabu tulikuwa tunachagua fimbo maana zitapoa muda huo huo na ni mara moja tu kuliko adhabu zinapoteza muda.
Msipende kuchapa watoto, mtawafanya wawe masugu.
ukizingatia TF naye ni 1st born pia sasa mtaishije,si itakuwa full mikwaruzano.
by the way (hii ni siri kubwa nakumegea),TF jana nimemwona Namnani na SL,shhhhhhh usiseme.
hili la bakora vs no bakora ni zito,na hata serikalini mjadala mzito unaendelea hadi leo kama watoto shuleni waendelee kuchapwa au la? fimbo zinasaidia kumjenga mtoto au zinamharibu kisaikolojia? It is a big debate Mkuu,unaonaje ipatikane siku ifunguliwe thread maalum kujadili jambo hili.
By the way unaamini kwa dhati kabisa kuwa umefanikiwa maishani kwa sababu ya bakora? na wanaofanikiwa bila kuchapwa (kama mimi Bishanga?)
refer to post #25 and #29 on page two of this thread.
wambie hao kina Avatar,Mzee na Fidel ndo wanafagilia bakora,mi naona na wao utotoni ilikuwa wakikosea kidogo ni mbata kwa kwenda mbele.
btw shule mlikuwa mnachapwa sehemu gani ya kiungo?
Kwa hiyo ndio unamlea kijukuu? acha hizo bana
I abhore violence ndo mana hata wanawake zangu huwa siwapigi,wakiniudhi nina namna yangu ya kuwaadhibu.
nina watoto wengi tu na wengine wamekwishamaliza chuo wanafanya kazi,i have never in my life picked a mjeledi na kumchapa mwanangu.
Utotoni wewe ulichapwa? unadhani ilikusaidia? maishani mwangu sijawahi kuchapwa na baba wala mama yangu(RIP wote wawili).Bakora nilikung'utwa shule,tena sa ingine zile za kupigwa vidole na mgongo wa rula na sidhani kama zilikuwa zinanisaidia lolote.I abhore violence ndo mana hata wanawake zangu huwa siwapigi,wakiniudhi nina namna yangu ya kuwaadhibu.