jamani hawa tcu nifanyeje

Adm

Senior Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
149
Reaction score
45
Hebu jamani naombeni msaada nifanyeje? TCU walitoa orodha ya wale ambao hawakuchaguliwa kwa kukosa credits,jina langu halikuwemo kwenye orodha hiyo.cha kushangaza TCU wametoa majina ya waliochaguliwa kujiunga vyuo mbalimbali na huko pia jina langu halipo. Nimesoma PCB na pass grades EED.Naombeni msaada wa mawazo nifanyeje?

mkuu EED?oooops................vp course ulizochagua na cut points zake zilimit points ulizonazo?

mkuu EED?oooops................vp course ulizochagua na cut points zake zilimit points ulizonazo?

Niliomba education mkwawa,sua,udom,duce. Pia nikaomba food technology sua ambapo cut off points ni kati ya 2.5 to 4

mkuu hiyo issue yake ni very serious inabidi ujivishe ngozi ya chuma kwa ajili ya kupambana, first anza kwenda kwenye office za tcu, uwaeleze that problem wanaweza wakakujumuisha na second selection.

Tcu nao c w.a.s.e.n.g.e 2,yan m2 ana pts hzo anaachwa afu m2 mwenye EES anachukuliwa.

Fact.
Chaliangu da same skul ana 3pt 15(S,E,D)HGL yupo udsm mkopo m3.4na chench koz smthn culture mi nna dv2pt 11nime2pwa mucobs mkopo m2.4 koz ya ajabu.

sasa hapo we unalalamika nn?

tcu wanaudhi sana kaka hawapo makini na kazi zao

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…