Jamani haya maneno yana ukweli kwani sisi mnatuuzia??

Sister duu kakugeuza wewe ndo dingi
Mapenzi kidogo mizinga mingi
Mr 2proud.
 
Haya mambo yakufanyana source of fund mie siyapendi kabisa....!!!
 
Connection lost... check your internet connection...
 
aaaah....kawaida sana.bila kuchunwa huwezi kutafta pesa mingi.na kama huyui kuonga wanawake wote wazuri utawaita shemejiiii....
 
Mbona kama tusi hilo au..duh! Haija kaa poa lakini mama asitukanwe jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…