Jamani hebu ingieni muione "TOVUTI" na "WAVUTI"...

Jamani hebu ingieni muione "TOVUTI" na "WAVUTI"...

grafani11

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2011
Posts
15,441
Reaction score
5,816
Ndugu wana Jamvi naombeni japo mchango kidogo wa mawazo kuhusu tofauti kati ya maneno yafuatayo:
  1. Tovuti
  2. Wavuti.
 
Back
Top Bottom