Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
jamani kwa wachagaa waliokuwepo moshi hebu mtukumbushe vita ya ukoo kati ya wachaga wa wamachame na wachaga kibosho.....kipindi hiko nasikia wachaga wa kibosho walikuwa wanajiita wayahudi na wachaga wa wamachame wakijitaa wapelestina..... Na chanzo nasikia mambo ya mali na ardhi....mpaka watu wengi walipoteza maisha....
Jamani kwa waliokuwepo hebu mtusimuliee.....
Jamani kwa waliokuwepo hebu mtusimuliee.....