V vice UDOM JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 204 Reaction score 9 Sep 30, 2013 #1 hivi wote 2jiulize mwanzon pale 2nafanya maombi bod walisema watatoa mkopo kwa mwaka wa kwanza kwa wa2 35,000,lkn hatimaye imetoa kwa wa2 29,745,xa swal 2jiulize wote je zile bil 306 ndo zimeisha ? na je km zp iweje wengine wakose? MMMM ! hapo.....!
hivi wote 2jiulize mwanzon pale 2nafanya maombi bod walisema watatoa mkopo kwa mwaka wa kwanza kwa wa2 35,000,lkn hatimaye imetoa kwa wa2 29,745,xa swal 2jiulize wote je zile bil 306 ndo zimeisha ? na je km zp iweje wengine wakose? MMMM ! hapo.....!
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Sep 30, 2013 #2 Uchakachuzi tu!