Jamani hi imenishinda kabisa

Jamani hi imenishinda kabisa

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
Naomba msaada wataalam!PC yangu ninapo play video kwa kutumia VLC PLAYER inaonyesha picha kwa kufifia sana,weupe unakua umezidi sana kwenye picha.JE TATIZO NI NINI?WAPI NILIPOCHEZEA?naombeni msaada.
 
fungua VLC, nenda 'Tools', Preferances, 'Reset Preferances'..
 
ikishindikana kabisa uninstall na uifunge upya.
 
Back
Top Bottom