Jamani hii course iko vipi??

Jamani hii course iko vipi??

LACHERO

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
478
Reaction score
278
Salaam, kuna ndugu yangu kachaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha ardhi katika masoma ya environment science and management, je hii course iko vipi generally na hata katika soko la ajira?? Asanteni
 
Shika kitu kimoja....Ardhi hakuna kozi ya ajabu hata moja
 
Ila chuo kikuu cha dar es salaam,chuo kipendwa na wadada/mabrazameni kuna kozi za ajabu mfano law enforcement..!!
Kiukweli awa jamaa wanaopiga hii kozi sijui huwa wanawaza nini. Kuna rafiki yangu mmoja alikua analia kila siku eti kozi haifahamiki na kila mtu,sekta binafsi ata serikali. Sasa ndio kozi gani hii...
 
Degree yoyote ni nzuri. Lengo kuu ni namna itavyokukomboa. Vya kwanza ni exposure na networking.

Hiyo ya mazingira wala haihitaji nguvu kujua umuhimu wake! Labda kama hahitaji elimu.
 
Back
Top Bottom