Ila chuo kikuu cha dar es salaam,chuo kipendwa na wadada/mabrazameni kuna kozi za ajabu mfano law enforcement..!!
Kiukweli awa jamaa wanaopiga hii kozi sijui huwa wanawaza nini. Kuna rafiki yangu mmoja alikua analia kila siku eti kozi haifahamiki na kila mtu,sekta binafsi ata serikali. Sasa ndio kozi gani hii...