Jamani hii ndio join instuction ya sua au kunaingine

Jamani hii ndio join instuction ya sua au kunaingine

Malinza boy

New Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Jamani kwa wale wa SUA nilikuwa napenda kuuliza je hiyo niliyoiattach ndo join instruction ya SUA au kuna nyingine?
 
inatakiwa uandike barua ikiwa na passport size makao makuu ya jeshi ukiomba kuahilishiwa muda wa kujiunga na jkt mpaka pale utakapo hitimu masomo. barua yako uiambatanishe na admission letter. kwa maelezo zaidi tembelea web ya jkt. fanya faster mana mwisho wa kupokea barua ni tarehe 5 oktoba.
 
Back
Top Bottom