Jamani, hii ndoto imekaaje?

Jamani, hii ndoto imekaaje?

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Nimemwota muuza kuku😳...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!?
Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza kwio)....sasa,mara ghafla maji kujaa Kwa daraja nikaanza kusombwa na maji vile napelekwa nikasikia kelele...SHIKA UKINGO WA DARAJAAA!! Kwani naelewa?!🙄 Mara nikadakwa mkono mmoja kutazama ni nani kumbe ndo huyo muuza kuku (nadhani alipoona sielewi aliponiambia nishike pembezoni mwa daraja akaona aniokoe tu!)
Muda tupo pale akawa ananiangaikia nipande juu nikashike ukingoni mwa daraja....akafanikiwa nikawa nimekamatia chuma kimoja pale ingali maji bado Yana nguvu sana,nikawa nipo kwe hofu kubwa sana....akanisoma so akaanza kuniongelesha Kwa kunipoza maneno mengiii,kwani namwelewa sasa🤒 mara ghafla mie ndo nakuwa wa kwanza kuona maji yanapungua yeye hana habari anitazama na kunipigisha stori nisizozielewa......Nami ikawa zamu yangu kupiga kelele...."OYAA,KIMBIA MAJI YAMEPUNGUAA!!!

Mshkaji kushtuka anaona kweli maji yamepungua,akainuka chap na kuanza mbio...sasa na ufupi ule kalivyokuwa kanachanganya miguu tena speed ya juu...mie huku nyuma hoi si nikaanza kucheka....Cheka kweli(kumbuka nacheka bado sijatoka darajani) Cheka kweli mpaka nimeshtuka ndotoni Bado nacheka🤣🤣🤣 Ngoja nikakatembelee baadae
 
Nimemwota muuza kuku[emoji15]...Yaan mpenz wangu sijawahi mwota hata mara Moja lakini Leo nashtuka toka usingizini nacheeeka.Ilikuwaje!?
Ni hivi,nimeota nilikuwa navuka daraja nyakati hizo mvua inanyesha sana... mbele yangu Kuna bro pia alikuwa anavuka (hapo sijajua kuwa ndo huyo muuza kwio)....sasa,mara ghafla maji kujaa Kwa daraja nikaanza kusombwa na maji vile napelekwa nikasikia kelele...SHIKA UKINGO WA DARAJAAA!! Kwani naelewa?![emoji849] Mara nikadakwa mkono mmoja kutazama ni nani kumbe ndo huyo muuza kuku (nadhani alipoona sielewi aliponiambia nishike mbembezoni mwa daraja akaona aniokoe tu!)
Muda tupo pale akawa ananiangaikia nipande juu nikashike ukingoni mwa daraja....akafanikiwa nikawa nimekamatia chuma kimoja pale ingali maji bado Yana nguvu sana,nikawa nipo kwe hofu kubwa sana....akanisoma so akaanza kuniongelesha Kwa kunipoza maneno mengiii,kwani namwelewa sasa[emoji855] mara ghafla mie ndo nakuwa wa kwanza kuona maji yanapungua yeye hana habari anitazama na kunipigisha stori nisizozielewa......Nami ikawa zamu yangu kupiga kelele...."OYAA,KIMBIA MAJI YAMEPUNGUAA!!!

Mshkaji kufufuka anaona kweli maji yamepungua,akainuka chap na kuanza mbio...sasa na ufupi ule kalivyokuwa kanachanganya miguu tena speed ya juu...mie huku nyuma hoi si nikaanza kucheka....Cheka kweli(kumbuka nacheka bado sijatoka darajani) Cheka kweli mpaka nimeshtuka ndotoni Bado nacheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngoja nikakatembelee baadae
Katakuja kukudinya hako
 
Hapo palipo jaa maji yakakusomba palikua ni Bandarini daslam bilashaka...😊
Ulivyo kamatia lichuma usipelekwe na maji ni dalili ya wewe kama mtanzania kukataa Bandari isichukuliwe...🤗
Kalivyo kua kanakuokoa ni tafsiri ya mbwembwe tunazo fanyiwa na huyu Habibi kwamba tukiondoka bandarini watatusaidia...😑
Kalivyo choropoka nduki tafsiri yake ni kwamba ipo siku tutawatimua dp na watakimbia....😎
 
Hapo palipo jaa maji yakakusomba palikua ni Bandarini daslam bilashaka...😊
Ulivyo kamatia lichuma usipelekwe na maji ni dalili ya wewe kama mtanzania kukataa Bandari isichukuliwe...🤗
Kalivyo kua kanakuokoa ni tafsiri ya mbwembwe tunazo fanyiwa na huyu Habibi kwamba tukiondoka bandarini watatusaidia...😑
Kalivyo choropoka nduki tafsiri yake ni kwamba ipo siku tutawatimua dp na watakimbia....😎
🤭Am in love with youuuuuu....bravooo👊🤸🤸
 
mbio...sasa na ufupi ule kalivyokuwa kanachanganya miguu tena speed ya juu...mie huku nyuma hoi si nikaanza kucheka....Cheka kweli(kumbuka nacheka bado sijatoka darajani) Cheka kweli
Ehee kwahio kakawa kanatoka nduki kama kirikuu😂💔 mbona kama inaendelea hivi? Nadhani utaota elo tena tuone itakuaje season 2 ep 1
 
Ehee kwahio kakawa kanatoka nduki kama kirikuu😂💔 mbona kama unaendelea hivi? Nadhani utaota elo tena tuone itakuaje season 2 ep 1
🤣🤣🤣Miss you aisee...upo?
 
itakuwa muuza kuku huko alipo anakuwazia mazuri sana na amekuzimikia
 
Back
Top Bottom