Jamani, hii ndoto imekaaje?

Maji yanayotiririka ni ishara ya misukosuko utakayokutana nayo baadaye.

Utapata msaada toka kwa watu/mtu usiyekuwa na ukaribu sana naye.

NB: Hii ndoto usiichukulie kirahisi kama baadhi ya member wanavyoleta utani. Nina uzoefu na ndoto za kuota maji hasa mto. Kuna shida yaweza kuja mbeleni. Omba sana Mungu isikupate.[emoji120]
 
Asante sana mkuu ♥️🙏
 
Aisee.. Samia yupo sahihi tu kuuza bandari
 
Una uhakika umeota kweli hii ndoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…