Hakuna dawa hapo labda kama unaleta stori za kishigongo!!! Kwanza ushirikina ni haramu sana, halafu tena umuingilie kinyume na maumbile mkeo?
Yaani stori imenichefua sana mpaka nashindwa kuandika vizuri lakini ukweli hakuna ouvu kama kumuingilia kinyume mkeo au hata mwanaume mwenzako!!!!
Kama unajua kuna kufa basi usijaribu kabisa ujinga huo na huyo mwanamke aende akampime mwanae ngoma labda kaathirika halafu anahangaika bure.
Hhahahah kweli hadithi njoo utamu kolea.....Hapo zamani za kale......waganga wa kienyeji ni waongo sana kuingiliana kinyume cha maumbile ndio dawa gani hiyo???
mganga na mume wangu watakuwa na undugu, ameona nimemnyima tigo, kaona aende kwa mganga! tigo yangu no!!Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya baada ya kujifungua mtoto huyo ukapata matatizo ya uzazazi yaliyopelekea ukaondolewa mfuko wa uzazi.Huwezi kuzaa tena. . .Tatizo linakuja mwanao anaanza kuugua sana unampeleka hosptl haponi,hali inakua mbaya zaidi na mtoto anaanza kuwa na mabakamabaka mwili mzima kama nyoka,mnapeleka kuombewa inashindikana,mnaamua kumpeleka hosptl za nje ya nchi;Nairobi,South Africa mpaka India lakini hali inakua mbaya zaidi.Mumeo ni mtu wa dini na ameokoka hataki kusikia mambo ya waganga wa kienyeji.Unaamua wewe mwenye kumpeleka mwanao kwa mganga,mganga anamkagua mwanao na anakwambia anaweza kumtibu lakini kutokana na ugonjwa wa mwanao kwa sababu ni wa kike dawa ile itamtibu mwanao kwa wewe na mwanao kuitumia kwa njia tofauti.Mwanao utamwogesha na dawa ile pamoja na kumnywesha.Wewe utaioga dawa ile lakini pia inatakiwa mumeo aipake dawa ile kwenye uume kisha akuingilie kinyume na maumbile halafu baada ya siku 3 unywe dawa ile!Ungefanyaje?Kuna mwanamke mwenzio anachangamoto hii,jaribu kumsaidia!
Kumbuka kwamba huo ni ugonjwa huwejua!
Rose1980 mbona unasema ni hadithi? dont run into a conclusive remark at first sight. Nafikir hebu tumuone anakujaje na majibu yake manake mm nawajua watu ambao in real wanapita kwenye changamoto mbaya sana ambazo unaweza kufikir siyo maisha at all. mfano unayajua maisha ya sajuki in deep?
Hakuna situation kama hiyo hata siku moja eti kinyume na maumbile alafu akapone mtu mwingine na kama kuna waganga kama hawa ni mashetani na walaaniwe!
Umekosea sana kumtaja sajuki hapa maana hata kama story ya maisha yake kapitia mengi siyo mpaka kutakiwa kuingia kimumbile mtake radhi
Jamani kama ni true situation basi i will do as follows.
Mungu anaweza akakupa mtoto mmoja na akamruhusu shetani amuue. to me uwezo wa kuzaa au la its not a big deal manake ndivyo maisha yalivyonichagulia.
cha kufanya ningemuomba Mungu mapenzi yake tu yatimizwe. Sihitaji wala sitaruhusu nafsi yangu iendelee kuumia kwa kile nisichokitaka. Kama Mungu aliyemuumba hawez kumnusuru basi afe tu. tena pakifika mahali anaumia kwa ugonjwa ningeomba sala ili mungu ampumzishe. najua itauma lkn itafikia mwisho. bwana namkumbuka bwana mmoja aliyeitwa Rimoy miaka ile ya 90's alikuwa na mke na watoto 6 walikufa mke na wanae wote kwenye ajali wakitokea Arusha so kwake yeye maisha ni nini? tena hata hakuona wakizikwa aliambulia kuona makaburi tu baada ya kupona na kurudi home akitokea hosp.
Shine umewah kumsikia mtu aliyesumbuka katika maisha akitoa ushuhuda? kama hujawah basi nyamaza kimya usiseme kuwa hakuna dawa kama hizi. Nimewah kumsikia mtu pale kanisan Agape kwa mchungaji Fernandis akitoa ushuhuda kama huo. tena yeye aliingiliwa na mganga kisha akampa dawa ya nyama iliyoandikwa kiarabu akamwambia kuwa aiweke kwenye tupu zake muda wa siku 5 na baadae aipike kwenye msosi anaokula mumewe. na maji ya kupikia huo msosi yawe yale aliyonawia hiyo tupu.Utamu hakuna kwani kaweka mambo ambayo ni laana kuyatenda na hata siku moja hakuna dawa kama hiyo!?
Hapa nimepata picha kwamba wanawake ndio hupenda kukimbilia kwa waganga wanapopata changamoto...........
Samahani kumbe inawahusu KE tu..................LOL
Kumbuka kwamba huo ni ugonjwa huwejua!
Umekosea sana kumtaja sajuki hapa maana hata kama story ya maisha yake kapitia mengi siyo mpaka kutakiwa kuingia kimumbile mtake radhi