Jamani hii ni nzuri au mbaya??

Purple

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
2,027
Reaction score
935
Spending too much time with your husband,wife or your lover...is it good or bad?
Namaanisha muda wote mko pamoja hampeani hata break! Ukigeuka hivi yupo,ukigeuka vile unamuona labda mnafanya kazi maeneo ya karibu au sehemu moja.. mnaenda pamoja,lunch mnakua pamoja na jioni mnarudi pamoja..
 
Kama hujui huo ndiyo upendo. Kama nafasi yenu inaruhusu kuwa pamoja kwa nini muache??
 
Hapo lazima suffocation itokee..
 
Sasa post yako umepost kama upo innocent wala huna upande unaegemea. lolz

nikionyesha upande ninaoegemea from the begining watu wataanza kuargue badala ya kucontribute their views!
 
nikionyesha upande ninaoegemea from the begining watu wataanza kuargue badala ya kucontribute their views!

Kweli, haya basi mimi niko pamoja na wewe, ila nipe sababu zako why not msiwe wote saa zote?
 
Tuache mzaha Purple, ushinde na mpnz wako 24/7? sometimes distance is good for lovers..

i see..distance ipi nzuri zaidi kati ya masaa,siku,miezi au miaka??
 
Kweli, haya basi mimi niko pamoja na wewe, ila nipe sababu zako why not msiwe wote saa zote?

mkiwa karibu all the time ni rahisi sana kukwazana..
Mnazoeana sana to the extent mnaanza kuchokana..
 
mkiwa karibu all the time ni rahisi sana kukwazana..
Mnazoeana sana to the extent mnaanza kuchokana..

Purple nadhani inategemea.. Ingekua kua watu kuishi mbali ama kushinda mbali ni gurantee ya Mapenzi then basi wapenzi wengi wangekua hawakwazani. Hio sababu uliotoa kwa kweli haijani convience.
 
Purple nadhani inategemea.. Ingekua kua watu kuishi mbali ama kushinda mbali ni gurantee ya Mapenzi then basi wapenzi wengi wangekua hawakwazani. Hio sababu uliotoa kwa kweli haijani convience.

Neiwa ndio maana nimesema "ni rahisi" meaning its not guranteed..hata kama mnapendana kiasi gani wakati mwingine ni vyema kupeana muda wa kila mtu kuwa peke yake..
 
Last edited by a moderator:
Mbaya wala sipendi, sasa utammisije kila saa unaye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…