Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Wapendwa katika kupambana na maisha ubunifu ni muhimu sana. Itumie akili yako katika kubuni mipango ya maendeleo. Akili haitakiwi kukaa bila kuwaza kitu hivyo usipowaza ya maana utawaza ya upuuzi. Usipowaza ya kwako utawaza ya watu.
Je unapenda kufanikiwa?
Achana na mambo ya watu akili iwe busy katika kupanga mambo yako na hakikisha unafanikiwa. Ya watu yanakupotezea muda na hayakusaidii. Huyu Jamaa anatafuta Ugomvi na Wachina ninamuonea Huruma.