jamani hili jingo la cocacola (onja msisimuko) nalielewa sana

Diamond ni hatari....
Wanasema ukitaka kumchukia mtu kwanza jiulize je huyu mtu hana zuri hata moja? ukikuta ana jambo zuri analo lifanya basi anza kumpenda kwa jambo hilo....Diamond kwenye ubunifu ndio ninapo mpa point nyingi zaidi.
 
Mm nasema kama hii ndio ingekuwa nyima daah ingebamba kinooma yaaan
 
Nikilisikia kiukweli huwa sitamani liishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…