Tatzo lamaisha ya bongo nikua kupata information za muhimu nijambo tata sana, nahii ndo inapelekea watu kupata hasara nakutapeliwa. Mfno kma watu wangeelewa mchakato mashine ya efd inayopitia mpaka kufanya kazi naamin kusingua nayoyote atakae tokea kukudanganya kua kuna mashine ya 250k. Nahata zile zinazotolewa bure nikwawafanya biashara maalum tena wanaangalia ukubwa wakodi mtu anayolipa sio yoyote anaweza kupata