Jamani hili tatizo ni la wote au tayari nimeshapigwa kofi na Maualana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wakubwa sijielewi kwani dakika tano ( 5 ) zilizopita na hata hivi ninavyoandika nimekumbwa na tatizo la ghafla ambapo Macho yangu yanawasha sana huku yanatoa machozi na siwezi ona kwa mbali. Je kuna wengine limewakumba au ndiyo tayari Mwenyezi Mungu labda anaanza kunihukumu huku huku Duniani labda kwa dhambi zangu na nikienda tu Mbinguni akanibanike tu motoni?

Naombeni msaada wa tiba ya haraka na nitawashukuruni Wapendwa.
 
Mleta mada ana hoja ya msingi maana yawezekana labda gesi yenye madhara imesambaa hewani na hatuna habari, labda ungelimuuliza yuko eneo gani la nchi. Waulize Syria juu ya gesi ya chlorine juzi kati!
 
Jamani c uende Hosp kwanza???

Hakuna mahala ninapo paogopa kama Hospitali kwani hofu yangu wanaweza kutaka kupima na vingine nikaanza kuishi kwa hofu na matumaini. Kama unajua dawa zozote nielekeze lakini kwenda Hospitali nadhani ni mtihani mgumu mno kwangu.
 
Itakuwa ni vikope tu... yaoshe na maji mengi na sabuni maumivu yakizidi waone ma tabibu kulee ilala bungoni
 
Hakuna mahala ninapo paogopa kama Hospitali kwani hofu yangu wanaweza kutaka kupima na vingine nikaanza kuishi kwa hofu na matumaini. Kama unajua dawa zozote nielekeze lakini kwenda Hospitali nadhani ni mtihani mgumu mno kwangu.
Serous???duuu. Pole sana.
 
muulze jumapili matower anaeza akakusaidia nae alikuwa muhanga wa ili
 
Inavyoonekana mkuu siku ya kupatwa kwa jua uliliangalia sana ndo sbb nakushauri tuage wana Jf wenzio mapema humu jamvini na nduguzo natumai huna muda upofu unakuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…