Jamani hisa za nmb, nisaidieni

Jamani hisa za nmb, nisaidieni

Msongoru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2008
Posts
306
Reaction score
24
Hellow wana JF! Jukwaa la elimu.

Natamani sana kununua hisa za NMB lakini nina mashaka, hebu mmoja wetu aliye na uelewa kidogo anisaidie. Je kweli inalipa kununua hisa hizo? au ndio tutajipatisha hasara?
 
Jamani! Ni kweli hakuna wazoefu wa mambo ya hisa humu? Au ndio mmeamua kukanyagia? naombeni ushauri!!!
 
Unaponunua IPO mara nyingi una nafasi kubwa ya kutengeneza pesa kuliko kuzinunua katika stock market baada ya IPO. Na isitoshe IPO nyingi zinakuwa na discount kidogo hivi. Bear in your mind hakuna guerantee ya kutengeneza pesa! do it in your own risk!!!
 
Back
Top Bottom