Natamani sana kununua hisa za NMB lakini nina mashaka, hebu mmoja wetu aliye na uelewa kidogo anisaidie. Je kweli inalipa kununua hisa hizo? au ndio tutajipatisha hasara?
Unaponunua IPO mara nyingi una nafasi kubwa ya kutengeneza pesa kuliko kuzinunua katika stock market baada ya IPO. Na isitoshe IPO nyingi zinakuwa na discount kidogo hivi. Bear in your mind hakuna guerantee ya kutengeneza pesa! do it in your own risk!!!