TWALICIOUS
Member
- May 26, 2011
- 42
- 0
mkuu inakubidi usilale,hata mimi ilinisumbuwa sana,lakini ilinibidi nikeshe na ikaja kukubali sikulala siku hiyo mpaka nilivyoprint form zoteHawa bodi walianza kuruhusu watu waanze kutuma maombi yao toka mwezi 4......tatizo ni kwamba kila watu wanapojaribu kusign in..ishu inakataa na mwisho wa ktuma maombi ni 30JUNE...assume kwa wale wanakaa vijijini hawana huduma hizo na inasemekana kuwa database yao imeharibika na zmebaki siku chache muda uishe jamani hebu rekebisheni basi sio kila Mtanzania ana hela za kusoma bila mkopo..wengi wao wanawategemea nyinyi....................