Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Maliza kwanza. huwezi pata may be volunteers
Unaweza kuomba kwa matokeo ya form six na hiyo kazi inabidi iwe na mchakato mrefu mpaka kuitwa kazini ili mpaka unaitwa uwe ushamaliza
kwa uzoefu wangu hiyo ya kuambatanisha na sehemu ya matokeo haisaidii sana kwa sababu kwa mfumo wa kazi za tanzania;wanasema labda wanataka watu wenye degrre au form six,sasa ukiabatanisha na sehemu ya matokeo hatimae unakuwa uko between hivyo ni rahisi kupuuzwa.lakini si anaweza akaambatanisha na matokeo yake ya chuo mwaka wa kwanza na wa pili? Au unaonaje?