wiza bulambu 1
Member
- Jan 8, 2013
- 9
- 1
love connect inamaana gani kwa lugha ya kiswahili...? maana kwa uelewa wangu mm ni sehem ambapo unaweza kutana na mtu mwenye hitaji la (mme)(mke) au rafiki..... why mtu akipost anahitaji rafiki au mpenzi kunawatu hum jf kazi yao kupoteza maana halisi ya love connect...? badilikeni hili ni jukwaa la kukutanisha walio achwaa na walio achaa..!!
Wee ni bora uwavumilie tu wabongo kwan hamna asiyejua kitu,matokeo yake huwa ni kuharib mana ya kitu halis.