Jamani hivi TB inapimwa bure?

Jamani hivi TB inapimwa bure?

Bure kabisa, ni vizuri ukienda mapema, ukianza dawa unapunguza nafasi ya kuambukiza wengine.
 
Back
Top Bottom