Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Mti wenye matunda ndio unaolengwa mawe na wewe bishost angu!mjini kuna chakusubiri aachike umekuja lini ubungo bibi wewe!piga majungu ikishindikana ,honga Baba V ikishindikana mkalie aliyekaa msongamano unahuuu sana wakati mwingine mradi roho iridhikee,hata kama ni wangu karibu shost tubanane.
 
Last edited by a moderator:
amu embu sema tuingie msituni! Utaumiaje roho bana? Why ukonde? Kasheshe kama yye hakukondei, je una chague mbadala?!?


I hope it isn't your shem sosoliso! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niulizie Dena Amsi yuko wapi kwanza asije akanipna nacomment hapa kwa amu naweza pata ban ya life
 
Last edited by a moderator:
amu cha kufanya wewe tafuta mnyonge wako ili umnyongee, ukisubiri vya kuchinja baada ya talaka kwa umdhaniaye utaishia kugugumia maumivu kila uchao.

Ila usije ukathubutu kufikiria kumnyongea mwaJ wangu, pamoja na kuwa yeye ni mpole sana lakini ni untouchable.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmh amu wewe taratibu mama
 
Last edited by a moderator:
Mpwa shtuka hapa watafutwa wewe...

Muda wote nlijua amu anakuzungumzia wewe, sasa kama si wewe, hii si itakuwa mali yangu halali mpwa?

Kijana Mentor njoo hapa utoe mwongozo
 
Last edited by a moderator:
sio mimi ni pacha wangu huyo. lol!! wapi dada measkron?

tumepeana zamu mimi naonekana mchana yeye anakuwepo usiku...hiyo ni mbinu ya ulinzi shirikishi wa kulinda ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…