Jamani hodi (sijui nimekosea?) Au nisemeje?

Jamani hodi (sijui nimekosea?) Au nisemeje?

NORTHERN ROCK

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
108
Reaction score
125
Ningetamani niwe nimeingia kitambo ila 'kawia ufike' walinena wahenga. Nami najipa moyo kuwa mimi siyo wa mwisho kwani bado watakuja/watajiunga wengine humu baada yangu.
Baada ya hayo sasa naomba niwaambie mimi nina aleji sana na ile kitu iitwayo CCM na kwa kweli ime2rudisha hatua nyingi sana nyuma. Nimeamua kuliweka hili mwanzoni kuwa huwa nachungulia vyumba vyote kila siku na mazungumzo yote nayasikia ila leo naomba wenyeji mniruhusu niingie nami nipande jukwaani nitoe mchango wangu huenda pamoja tukawa tumaini jipya kwa kizazi kilichopo na kichajo na mnielekeze baadhi ya sheria na jinsi inipasavyo kufanya. Nami nawaahidi nitakuwa mfuata maelekezo. Baada ya hayo machache sasa niruhusuni niingie ndani, HODI..,
 
Karibu sana mgeni jamvini, kuna thread inayohusu sheria zetu ipitie kama una swali usisite kuuliza.
 
Mh karibu tu mengine yatajipanga ukitulia
 
Karibu sana, uje utupe mauzoefu yako.
 
Back
Top Bottom