J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 2, 2021 #1 Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,204 May 2, 2021 #2 johnthebaptist said: Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee! Click to expand... Zote zimeondolewa lockdown huenda kama nchi wamekata tamaa
johnthebaptist said: Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee! Click to expand... Zote zimeondolewa lockdown huenda kama nchi wamekata tamaa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 2, 2021 #3 johnthebaptist said: Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee! Click to expand... Achana na mambo ya Kenya wewe! Njoo hapa Tanangozi nikupige ofa ya ulanzi! 🍻Nitakaa kwa siku mbili. Karibu sana kada mtiifu wa ccm tujumuike.
johnthebaptist said: Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee! Click to expand... Achana na mambo ya Kenya wewe! Njoo hapa Tanangozi nikupige ofa ya ulanzi! 🍻Nitakaa kwa siku mbili. Karibu sana kada mtiifu wa ccm tujumuike.