Jamani, huwa mnapumzika wapi mkiwa Dar?

Magogoni Ndugu,Ni pazuri sana, Pako na fence na security 24/7. Usipopapenda njoo inbox nikuelekeze chimbo, kama ni KE itakua rahisi kumsaidia
 
I can afford, but I want something like home looking residence
Hizo mambo zipo kibao kimbiji kigamboni....Kuna center inaitwa yaleyale puna uliza pachkonjo
 
Victoire umeona mtu anatoka majuu kutafuta K. Wewe ulikuwa unasangaa mtu kuitoa Dar K ili iliwe mwanza
 
Ras Kutani, katikati ya Kimbiji na Pemba mnazi.
Huku hakuna wazamiaji wala wapiga chabo.
 
Huwa napumzika Massage parlour za sinza, tabata au kinondoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kama ni mara yenu ya kwanza mi nakushauri uchukue tu loji ya kawaida ya elfu 40 utest zali kwanza. Unaweza igia gharama kubwa kutafuta sehemu exclusive mwisho unakuta uliyodhani yamo hayamo!
 
Kama ni mara yenu ya kwanza mi nakushauri uchukue tu loji ya kawaida ya elfu 40 utest zali kwanza. Unaweza igia gharama kubwa kutafuta sehemu exclusive mwisho unakuta uliyodhani yamo hayamo!
Nakazia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…