Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo

Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
11sih6a.jpg

Brother Michuzi,
Naitwa Alex Kasengo, nafanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu huku kanda ya Ziwa. Wakati wa mapumziko wiki iliyopita nilienda kutembelea kijiji karibu na mgodi huu.
Baadae nikamkuta huyo mzee kwenye picha kalewa chakari kama anavyoonekana hapo. Pombe sio mbaya ila ukinywa kama maji matokeo yake ndiyo hayo. Naomba uiweke hiyo picha kwenye hii blog makini ili wale wenye tabia kama hizo waache mara moja.

Kweli Pombe Sio chai
 
halafu hapo kwenye goti la kushoto pana nini hapo?

ila wenyewe watakwambia hiyo ndio starehe yake, ha ha haaaaa
 
halafu hapo kwenye goti la kushoto pana nini hapo?

ila wenyewe watakwambia hiyo ndio starehe yake, ha ha haaaaa

Jamaa ana bahati hiyo saa bado wajanja hawajamvua tu!! ndo uzuri wa kukaa kijijini!!! hahahahaaaaaa!
 
mi mwenyewe nimejiuliza.....
Kakunya huyoo.....hakuna kujiuliza preta na we huoni pia????angalia usiige kuaangyka jukwaani na miwani umevaa....si wajua tena:lol:
 
hapo mwenyewe anaona dunia tambarareeeeee!!!!
 
Halafu hiyo suruali yake mbona kama imefunguliwa.,alifungua mwenyewe kweli au ndio alifunguliwa na wajanja.
 
Anabahati sana huyu ndugu hapa hajamwona angempa kash kash
46593_126948477353276_100001143723555_142554_6876939_n.jpg
 
11sih6a.jpg

Brother Michuzi,
Naitwa Alex Kasengo, nafanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu huku kanda ya Ziwa. Wakati wa mapumziko wiki iliyopita nilienda kutembelea kijiji karibu na mgodi huu.
Baadae nikamkuta huyo mzee kwenye picha kalewa chakari kama anavyoonekana hapo. Pombe sio mbaya ila ukinywa kama maji matokeo yake ndiyo hayo. Naomba uiweke hiyo picha kwenye hii blog makini ili wale wenye tabia kama hizo waache mara moja.

Kweli Pombe Sio chai

Hayo ndio "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania!"
 
amechoka na ahadi za maisha bora kaamua kujipa maisha bora na pombe ya kienyeji, ama kweli maisha yamekuwa magumu bongo
 
Back
Top Bottom