Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
halafu hapo kwenye goti la kushoto pana nini hapo?
ila wenyewe watakwambia hiyo ndio starehe yake, ha ha haaaaa
halafu hapo kwenye goti la kushoto pana nini hapo?
ila wenyewe watakwambia hiyo ndio starehe yake, ha ha haaaaa
=====Jamaa ana bahati hiyo saa bado wajanja hawajamvua tu!! ndo uzuri wa kukaa kijijini!!! hahahahaaaaaa!
Kakunya huyoo.....hakuna kujiuliza preta na we huoni pia????angalia usiige kuaangyka jukwaani na miwani umevaa....si wajua tena:lol:mi mwenyewe nimejiuliza.....
Hiyo habari ulikuwa unaileta kwa wote humu au ulikuwa unampa Michuzi? Ni bora ungemPM.Brother Michuzi, ...
Brother Michuzi,
Naitwa Alex Kasengo, nafanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu huku kanda ya Ziwa. Wakati wa mapumziko wiki iliyopita nilienda kutembelea kijiji karibu na mgodi huu.
Baadae nikamkuta huyo mzee kwenye picha kalewa chakari kama anavyoonekana hapo. Pombe sio mbaya ila ukinywa kama maji matokeo yake ndiyo hayo. Naomba uiweke hiyo picha kwenye hii blog makini ili wale wenye tabia kama hizo waache mara moja.
Kweli Pombe Sio chai
Masikini usikute mwenyewe anajua yupo home kitandani!!..
nasikia ana kadi ya ccm huyo, siju ni kweli?