Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo

...hiyo suruali imefunguka, kwenye goti kuna mchafuko wa NYESI nadhani walumendago wamemmwaga kimba jamaa. Walevi wengi wanakumbana na zahma hii ila siri yao (sijawahi kunywa pombe).

Pombe si kahawa walah
 
Tukiifuatilia family tree, lazma itamkonnect na JF member humu, ambaye pengine ameisha mpondea.
Tafakari ,, chukua hatua.
 
hahahaha
kakajambazi unasemaje???....
 
Jamani hiyo picha inatuonyesha mengi ya kutafakari:

1. Njaa na pombe haviendani.
2. Maisha bora kwa kila mtanzania.
3.Hali ya umaskini ilivyokithiri i.e abject poverty
4.Jinsi gani matabaka yameongezeka.
5. etc , etc, etc

Halafu unasimama kwenye jukwaa unahubiri siasa za uongo bila utekelezaji. Lakini je, watu kama huyu aliyelala hapa wataamka lini kisiasa na kidemokrasia? Wanatishwa kuwa usipompigia kura fulani atajua na atakudai ile elfu tano aliyokuhonga!! Wanaogopa bila kupata elimu kuwa hakuna nayekuja kuchungualia kwenye chumba cha kupigia kura ati hukumpa kura. Tutoe elimu kubwa sana ya upigaji kura with successful change of mindset, any other political party may overthrow our papa thithiem.
 
 
Hivi hawezi kuwa ni mgonjwa na ni kwamba amezidiwa na ugonjwa?au jamaa alimpima kujua kuwa amekunywa?
 
Akili za huyo mlevi ni kama za popo na nyeti zake. Unalewa katika mwezi mtukufu huu. Au ni laana
 
huyo kalala anasubiri msafara wa wakubwa wagawe tisheti na kofia
 
:confused2:​

hatujawa fare kwa huyo babu. huyo babu anawakilisha watz wengi kutokana na kutotimia kwa ile ahadi ya maisha bora kwa kila mtz.



ama kweli mfalme yu uchi na tumeona korodani zake!!!
 
Maisha bora kwa kila mtanzania kwa kasi zaidi na ari zaidi. Aiseeee
 
Tukiifuatilia family tree, lazma itamkonnect na JF member humu, ambaye pengine ameisha mpondea.
Tafakari ,, chukua hatua.
Wenyeji wa maeneo yenye migodi ya dhahabu hususan.
 
Anabahati kweli huyu huko kijijini hakuna wahuni.
Lala hivyo maeneo ya manzese, tandale, kinondoni wahuni lazima wafanye kazi yao wanakata sili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…