Jamani huyu mpenzi ananipenda au la!

Mara nyigi mtu ashauriwi ktk mapenz coz ni hisia za mwenyewe binafsi bt kama unaona ww anavyokutrit ni saw unaweza endelea bt kama si sawa chukua maamuzi.
 
Umemuuliza kama anakupenda bado?
 
mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous

ni pm namba yake
 
Mwache kwanza, jipumzishe kwa muda, kama ni wako atakutafuta but otherwise hakutaki tena. hata hivyo fuata moyo wako
 
usiulazimishe mbuyu kuwa mchicha
jifunze kusoma alama za nyakati kuepukana na yanayo
weza kukumiza moyo zaidi
 
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous
.

Achana nae huyo hajui mapenzi, hajakuwa bado, Tafuta mwanaume anaejua mapenzi nini.
 
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous

Amesha kuchoka
Check ustaarabu sehemu ingine
 
huwa nashangaa sana wanawake mnapo ng'ang'ania msipo pendeka usikute binti wa watu anakonda jamaa lipo sholi mwingine huko linacheka tu

hahahahaa Fidel80 umenichekesha ,,,unajua mwenzie atakuwa kapenda toka moyoni lakini mwenzie ahana mapenzi hata kidogo.
sijui huwa tunakuwaje !
 
hahahahaa Fidel80 umenichekesha ,,,unajua mwenzie atakuwa kapenda toka moyoni lakini mwenzie ahana mapenzi hata kidogo.
sijui huwa tunakuwaje !

Ndo maana mimi huwa nasema wazi sijui kupenda nasito penda mi natamani tu
Sasa kapenda huyo jamaa ameona hamfai ndo maana anampotezea na yeye asipoteze muda wake kung'ang'ania kupiga cmu kutuma meseji jitu lenyewe halina time na yeye.
 
Inawezekana hana mapenzi ya dhati au ankupima,thus nawe unatakiwa kumvungia kiaina ili upate ukweli,usimpaparikie
 
maskini we,, pole ndio mapenz i '' 'ukimpenda akijua huwa daima haachi kujizuzua'''mapenzi ndivyo yanavyo kua . nakuonea huruma lakin inaonekana huyo hakupendi ,samahani kwa kukuambia hivyo ,hiyo ni waziwazi ,,
 
ashapata sehem nyingine sasa anakuona kama hufai-kuwa makin lolote laweza tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…