Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Halafu kashkilia kabisa maeneo yake, nadhani kumeshaanza kuwaka moto!! huyu jamaa kwa vimwana! ana scandal za kutosha tu sawa na yule mwenzie wa ufaransa
Ni kweli...jasiri haachi asili... akiacha asili hana akili...!!Hata Paka Mzee anatamani Maziwa!!!!!!!!
By the way, we are just humans belonging to kingdom Animalia,class Mammalia and order Primates with our closer relatives monkeys and gorrilas.
Its force of nature.
Mke wa Rais wa Ufaransa
funua mkono basi kidogo duh
iiiiYah ni mlezi wa klabu yetu yenye mafanikio zaidi duniani..RossoneriSiyo Mzee wa AC MILAN huyu?
Mbona mi naona kama anaangalia chini vile!!