siyo system, TIMING = failure
Dah naona ishakuwa mipasho, sasa sitachangia chochote katika hii post. ngoja ninyamaze niwaache wanaojua ukweli.agree timing without realising who you are dealing with = failure. ungemlia timing rita usingeshindwa kujua rita ni mswahili. ulikurupuka ukaweka mayai kwenye kisalfeti na kubeba kichwa ukipeleka sokoni, lazima uloe gundigundi za majogoo kichwa
uzaifu ni kitu kibaya sana..... unaweka ndoto za mchana kuhusu future na rita wakati hata kumjua humjui vizuri
ushauri tu kwa wanangu: siku hizi wanawake ni wajanja kuliko wanaume, ya rita ni part gazeti tu
Pumba...
Kama siyo Rita ni huyo rafiki ambaye kwanza miye nilimuona ni mshamba kwa kulalamikia demu wakati angetakiwa kuachana naye tu.
Bora pumba watakula hata kuku...
Hili ni vumbi kabisa lisilofaa hata kwa nguruwe!