faithful
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 378
- 34
wadau mambo yenu?
mwenzenu niko kikazi kwenye mji fulani,ni miezi 9 sasa.naishi peke yangu. nimetokea kuwa karibu na dada fulani ambae ofisi zetu zipo karibu.mwanzoni tulikuwa tunakuwa pamoja lunch time. baadae ushost ukanoga hadi majumbani kwetu na ulinoga zaidi alipogundua mimi na mumewe ni kabila moja tukawa mawifi tena.na mume mtu nae akawa kaka.
basi huyu mkaka tangu anijue imekuwa shida akisafiri analeta mizawadi kibao kwangu haswa vyakula na vinywaji na shost anajua na huwa ananiambia kakako anakupenda kweli hawezi kupita siku bila kukutaja jamani...yeye anamwamini sana mumewe na anasema tangu amfahamu hajawi hata kuhisi kama anamwanamke...eti hata kutongoza hajui...........eti nisali sana nipate mume mwema kama wake...huyu shost ni rafiki mzuri tu kwangu na naamini ananipenda.............ila ukweli ni kwamba huyu mumewe tangu siku ya kwanza ameniona ameoyesha kunitamani na kiukweli ananitongoza sana...mara kadhaa ameshakuja home kwangu peke yake akimuwaga mkewe anakuja kumsalimia dada kumbe anakuja kutongoza nimemkemea hadi kumtishia kumsemea kwa mkewe hakomi....hivi juzi tu karudi safari toka wapi sijui kaniletea zawadi za ajabu ajabu ambazo zinafanya nimwone hanielewi......nawaza kumwita mkewe nimshtakie ila nahofia hataniamini au ushost utaisha......................WADAU NAOMBA USHAURI!