Jamani huyu shemeji kaka nimsemee au nichune tu!

kama vipi we mpige jamaa tafu tu, mpe mzigo kwani nina imani hatarudi tena
 
Hommie we ungefanyiwa hivyo ungekuwa wema au ukatili...?

Nimeshaanza kuingiwa na mashaka na uanachama wako. Tutakuita Dodoma kukusaili:confused2::confused2::confused2:

hommie nina hamu nimwone tabibu wako ndo maana....lol si nasikia ulikuka masharti pia ya uanachama:becky::becky:
 
hommie nina hamu nimwone tabibu wako ndo maana....lol si nasikia ulikuka masharti pia ya uanachama:becky::becky:

Inakuwaje unatoa siri za chama bila ridhaa ya sekretarieti ya halmashauri kuu ya mkutano mkuu wa taifa?:becky::becky::becky:
 
infidelito streighto!! okoa ndoa ya rafikiyo..!! fikisha ujumbe kidiplomasia.. mwambie next time 'kaka' akitaka kuja wawe wanakuja wote!!inawenza punguza khatari!
 
Sasa miezi 9 yote hiyo hujapata kitu roho inapenda, halafu kaka yako wa hiari amejitolea kukusaidia bado unambania! Kula kitu roho inapenda!
 
Sasa miezi 9 yote hiyo hujapata kitu roho inapenda, halafu kaka yako wa hiari amejitolea kukusaidia bado unambania! Kula kitu roho inapenda!
Either anasoma mazingira au mtu wa maadili
 
asante mwaya!
ushahidi ninao wa meseji zake za kubembeleza tena nawaza siku shost akiziona kama huwa hazifuti ndio balaa.ila kakangu genekai anasema kusemelea mambo ya kishule shule
lakini kwa nini wanaume wengine hawana haya hadi shoga wa mkeo jamani!mimi huwa nawaheshimu sana marafiki wa mwanaume wangu!
 
Sasa miezi 9 yote hiyo hujapata kitu roho inapenda, halafu kaka yako wa hiari amejitolea kukusaidia bado unambania! Kula kitu roho inapenda!

sina nye.. hizo jamani za kutembea na mume wa shost nikizidiwa nitaingia hata mitaani kutafuta ila si yeye lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…