Jamani hv majna ya tcu ni sawa na ya loan board?

Jamani hv majna ya tcu ni sawa na ya loan board?

me sjayaona coz net inazingua sana

kule tcu kuna majina mengne ya previous lonee yamewekwa,hawa ni wale watu ambao wamewah kusoma vyuo miaka iliyopita then kwa sababu tofauti hawakumaliza kwa hyo mwaka huu ndio wameaply kupitia tcu,ila cjajua wako wangap mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom