Jamani inakuaje mpaka mtu anapangiwa kuwa mkufunzi vyuo vya ualim nchini

Jamani inakuaje mpaka mtu anapangiwa kuwa mkufunzi vyuo vya ualim nchini

aleez

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
46
Reaction score
7
Vigezo gani vinatumika kupangwa kuwa mkufunzi wa vyuo vya ualim nchini??
 
Mmh! Tupo wengi tunaotaka iyo kitu ila nimeambiwa unaandika barua wizarani
 
Kwani taratibu za utumishi zinatofautiana na kada nyingine za utumishi wa uma?
 
hamna utaratibu maalum inatokea kama zali otherwise ufanye michongo na wanaopanga vituo. hii ndio TZ bhaana ila sometimes matokeo yako ya f6 yawe yanarishisha means dv 1 & 2 ni kigezo kikubwa
 
Nakishauri nenda Wizara ya elimu utapata majibu yote.

Kujuana kuna weza kukawepo ila hilo ni tatizo la karibu kila ofisi sasa,hivyo usikatishwe tamaa.wapo waliopata bila kujuana.
 
Ukiwa na bachelor ya BED kama zali tu kitu kinakudondokea,hasa wa linguistic wanafursa kubwa ya kupelekwa huko lakini bahati nasibu usiwe umelala na bundi
 
Back
Top Bottom