Jamani inakuaje mpaka mtu anapangiwa kuwa mkufunzi vyuo vya ualim nchini

haya bhana walimu mnapendana sana.. back to the topic vigezo vya kufundisha vyuo vya ualimu ni vipi???
Mi najua watu wanaosoma BED ndo wanapaswa kufundisha TTC
ila kibongo bongo hapa vigezo wanavyo vichwani mwao
hata hivo wameturahisishia kazi make teaching subject ni moja tu kwahiyo nakula bata tu
 
Ila nasikia hivyo vyuo wanabadilishiwa mfumo kutoka kufanya mtihani iliyo chini ya NECTA kwenda NACTE,sasa labda wanavyochagua BAED au BscEd wanajiandaa na mfumo huo mpya.
 
Kazana cheti kiwe ns fying colours ukiomba utapata.
 
Poleni sana walimu i smell something like a search for a warm soup!
 
Ila nasikia hivyo vyuo wanabadilishiwa mfumo kutoka kufanya mtihani iliyo chini ya NECTA kwenda NACTE,sasa labda wanavyochagua BAED au BscEd wanajiandaa na mfumo huo mpya.

Oooh okay, wangetoa taarifa mapema
walituletea makablasha tujaze, tuchague vyuo vitatu kumbe changa la macho tu
hata hivo sijutii kuwa secondary naenjoy sana tu tena nahisi ni sehemu nzuri kuliko hata chuo
ukiondoa swala la maslah....
 
Maisha popote ila mtaani ni kubaya sana bila job
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…