Taarifa Nilizo sikia kutoka kwa baadhi ya wasanii kuwa Mwigazaji SADYUKI yupo hoi kwa Miezi kadhaa..
Na kwenye kipindi cha Barugumu leo asubuh wame hakikisha kuwa SADYUKI YUPO HOI.
Mytake-Wasanii msaidie mwenzenu msisubiri siku akitutoka ndo mvae suti zenu nyeusi.
Du aisee kwanin usumuulize aliyekupa taarifa?
kama ni kweli kikwete atakatisha ziara na kuja msibani