Jamani Injinia yuko wapi

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2007
Posts
1,407
Reaction score
161
Join Date26th February 2008Last
Activity17th january 2010 07:26 AMAvatar


Jamani huyu member amepotelea wapi?
 
Amepata tenda ya kujenga barabara huko central Tanganyika
 
Amepata tenda ya kujenga barabara huko central Tanganyika

Ana itajika sana Hapa, hasa kipindi iki cha kuelekea uchaguzi mkuu,Huyu atakuwa ana mpigia kampeni rafiki yake Christophe
 
Angalizo: Usije ukachanganya kati ya Injinia na Engineer, ni watu wawili tofauti humu (kwa ID)! Ninavyojua mimi yule Engineer ni mfuasi mkubwa wa siasa za Kyela, ila Injinia sijafuatilia sana mabandiko yake. Ni angalizo tu!
 
Yo Yo kapotea
Chaku yuko wapi?
YNIM kenda wapi?
Penny wapi?
Kelly wapi?

kuna watu wengi sijui wako kwenye mchakato wa uchaguzi ...missing you guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…