Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 910
Akitokea Kwenye kikao Cha suluhu Za kivita kilichojumuisha mobutu sese seko wa Zaire(Congo), Kamuzu Banda wa Malawi na keneth Kaunda wa Zambia Mwaka 1986 huko Africa ya Kusini, Rais wa Msumbiji Samora Machel ambaye kwenye kikao aliwananga Zambia na Africa Kusini kwa kutoa Support waasi wa Renamo waliomsumbua sana tokea ameunyakua Urais 1975, alipata ajali ya ndege iliyomuua,
INASEMEKANA awali waliamini ni ajali Kama ajali nyingine, lakini baadae Mke wa RAIS Samora Machel, Graca Machel, mwanamama msomi anayesadikiwa kuwa mwanamke mzungumzaji Na mcheshi kuliko wote wake Wa marais Africa, mwenye kuongea Kwa ufasaha kireno, kiingereza, kifaransa, kijerumani Na kuswahili( aliwahi kufundisha Chuo Cha Frelimo Tanzania Na Ndoa yake Na Samora ilifanyika Tunduru(1973 Na sherehe kamili 1975 kwao), mwanamke anayeongoza kuwa Mke Wa marais wawili Samona Michel (1975-1986) Na Baadae Kuolewa Na Tata-Madiba (Nelson Mandela) 1988-1999 in office but till today) aliibua changamoto Kwamba mumewe hakufa Kwa ajali ya ndege ya kawaida, ni ajali iliyochorwa Na Serikali yaAfrica Kusini, inasadikika Kwenye milima ya Lebombo mpakani mwa msumbiji, Africa kusini Na Swaziland rubani alipewa maelekezo ya kutua, Na inasadikiwa kwa kuwa ilikuwa Usiku wajanja waliweka plane biccons Za dharula Na rubani akafikiri ni uwanja wa ndege huyoo akaparamia mlima Na mjeshi huyo akapoteza maisha
Nadhani from that day ndege Za Marais lazima ziwe automatic landing. Ikiona unataka kuishusha pasipo KIWANJA inakugomea Na ukiisumbua zaidi inakata mawasiliano Na wewe, inatoa alam Za immergence landing Na kutafuta KIWANJA kilicho karibu Chenye hadhi yake kutua kinatua.. Kama wewe ni Rubani umempakia baba naniliu..., kwe utete wa Nchi ulivyo sasa, kisha akaona ndege inatua Arusha Kwenye ngome ya CDM, badala ya Dsm sujui utajiteteaje akuelewe.