jamani,jamani,jamani kulikoni national audit

kintunu

Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
11
Reaction score
0
kama kuna mdau anajua habari yoyote kuhusu usaili tuliofanya wa national audit matokeo nyake wanatoa lini?
 
mbona mna mchecheto sana ninyi vijana. yaani hata mwezi haujaisha mmeshaanza kupiga kelele. wapeni muda maana mlikuwa watu elfu 4. wamalize kusahihisha na kusoma vimemo, siyo kazi ya siku moja jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…